VYOO VIBOVU VYAPATA SULUHU

Hali ilivyokua kabla

Hali ilivyokua kabla

Hali ilivyokua kabla

Hali ilivyokua kabla

Hali ilivyokua kabla

Hali ilivyokua kabla

 

Mafundi wakikabidhiwa vifaa vya ujenzi

Mafundi wakikabidhiwa vifaa vya ujenzi

Hali ya vyoo katika mtaa wa Keko Machungwa imekuwa ikitishia usalama wa wakazi hasa kutokana na  vyoo  vingi kuwa vibovu  ,Hali hii ilijitokeza baada ya shirika lisilo la kiserikali la Center for Community Initiatives kwa kushirikisha  vikundi vya kijamii Federation kufanya utafiti uliobaini changamoto hizo na kuzitafutia ufumbuzi kwa kuwapatia wakazi mikopo ya vyoo bora vyenye gharama nafuu.

MVUA YASABABISHA MADIMBWI KUJAA MAJI.

Mvua za masika zilizo anza mwezi huu wa Februari mwanzoni zimesababisha madimbwi kujaa maji katika mtaa wa Keko Machungwa. Hivyo ni ushauri wangu ya kuwa wakazi wa mtaa huu hamna budi kufukia madimbwi haya, Kutumia neti zilizowekwa dawa zenye kuzuia ugonjwa wa malaria na kuangalia watoto kutocheza katika madimbwi haya kwa maana magonjwa mengine kama Kichocho huweza kusababishwa na madimbwi haya.

Madimbwi yalijaa kutokana na mvua.

Madimbwi yalijaa kutokana na mvua.

Madimbwi yalijaa kutokana na mvua.

Madimbwi yalijaa kutokana na mvua.

Madimbwi yalijaa kutokana na mvua.

Madimbwi yalijaa kutokana na mvua.

 

MRATIBU WA TAIFA WA VIKUNDI VYA FEDERATION SWAZILAND AWASILI KEKO MACHUNGWA.

 
mgeni katika picha ya pamoja na wanachama wa keko machungwa.
mgeni katika picha ya pamoja na wanachama wa keko machungwa.

 

Talent Dikiza akijadili jambo.

Talent Dikiza akijadili jambo.

Talent Dikiza akijadili jambo na wanachama.

Talent Dikiza akijadili jambo na wanachama.

Talent Dikiza akijadili jambo na wanachama.

Talent Dikiza akijadili jambo na wanachama.

Talent Dikiza ni mratibu wa vikundi vya kijamii (federation of urban poor) kutoka swaziland amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya mafunzo yenye lengo la kujifunza na kuona shughuli za kijamii katika mtaa wa Keko Machungwa.

 

MAFUNZO YA GULPER.

Mafunzo ya gulper kwa vitendo yafanyika katika mtaa wa keko machungwa kwa kushirikisha wadau muhimu wa mazingira kutoka katika manispaa zote tatu, Ilala, Kinondoni na Temeke (WAHECO) Mafunzo yameratibiwa na Water Aid Tanzania na CCI ambao ndio wasimamizi wa mradi huo

Mkufunzi akitoa mafunzo kwa wajasiriamali kwa wajasiriamali wa Gulper

Mkufunzi akitoa mafunzo kwa wajasiriamali kwa wajasiriamali wa Gulper

 

Mkurugenzi wa Water Aid Tanzania akikabidhi vyeti kwa wakufunzi.

Mkurugenzi wa Water Aid Tanzania akikabidhi vyeti kwa wakufunzi.

Wajasiriamali wakijadili

Wajasiriamali wakijadili

Afisa biashara akitoa mafunzo ya ujasiriamali

Afisa biashara akitoa mafunzo ya ujasiriamali

Mafunzo kwa vitendo

Mafunzo kwa vitendo

WANAFUNZI KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA WAJASIRIAMALI.

Wanafunzi kutoka nchini Uingereza wamefika mtaa wa Kekomachungwa kwa lengo la kuwaona wajasiriamali (vikundi vya kijamii) na kujua shughuli zao wanazozifanya kwa lengo la kuboresha kazi za mikono wanazozifanya.

JIH 023

Wanafunzi wakitoa maelekezo kwa wajasiriamali.

JIH 026

wanafunzi pamoja na wajasiriamali.

JIH 028

Wajasiriamali wakitoa maoni kwa wanafunzi hao.

Kwa upande wa wajasirimali  hao ambao wanatokana na vikundi vya federation vilivyopo ktika mtaa wamefarijika na ujio wa wanafunzi hao.

UZINDUZI WA SABUNI WAFANA.

Mkuu wa wilaya ya Temeke amezindua msafara wa sabuni ya mafanikio kwa kuasa na kusisitizia suala la usafi wa mazingira pamoja na kuomba jamii kutoa ushirikiano katika kuhakikisha maeneo yanakua safi na salama.

Hafla hiyo imehusisha  Viongozi mbalimbali,wadau wa maendeleo, wakazi wa Temeke, wanafunzi, walimu na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kama wadau wakuu katika kuhakikisha sheria na taratibu za usafi wa mazingira zinazingatiwa

WAKENYA WATEMBELEA KEKO MACHUNGWA.

Wakenya wamekujaa kuona miradi ya kijamii inayo tekelezwa na vikundi vya kijamii (Federation) na kujifunza juu ya miradi hiyo inavyo tekelezwa pamoja na kubadilishana mawazo ikiwemo kupeana mbinu mbalimbali za kimaendeleo na wanajamii wa vikundi husika kwa kushirikisha Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Keko Machungwa.

GULPER SULUHISHO LA VYOO VYETU

Wanajmii wa mtaa wa Keko machungwa wamepatiwa mradi wa unyonyaji maji taka kwa kutumia pampu ya mkono (gulpa) teknolojia imebuniwa kwa lengo la kuhakikisha vyoo vilivyojaa vinafaulishwa kwa njia sahihi na salama hasa maeneo yasiyopitika kwa magari.

 

reserve 025

-Kifaa cha kusafirishia maji taka-

reserve 031

-Jinsi pampu ya mkono (GULPER) inavyofanya kazi.

reserve 036

-Jinsi ya kuweka maji taka kwenye tanki.